×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Huduma za afya zilidumazwa katika kaunti mbali mbali nchini Kenya

4th February, 2019

Huduma za afya zilidumazwa katika kaunti mbali mbali za humu nchini baada ya wauguzi kuandaa mgomo  unaotishia kuzima pumzi za watu. Viongozi wa wauguzi waliendelea kushikilia misimamo yao mikali licha ya serikali kuwataka wasitishe mgomo huo. 

.
RELATED VIDEOS