×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mazishi ya James Odu 'Cobra' aliyeuawa katika shambulizi la Riverside

2nd February, 2019

Hatimaye, Mwendazake James Oduor Radido, alaarufu Cobra, alizikwa kwao Ukwala, katika eneo bunge la Ugenya. Mamia ya jamaa na marafiki walifika kumuaga Oduor, ambaye aliuawa katika shambulizi la kigaidi katika hoteli ya Dusit D2 katika eneo la westlands janauari kumi na tano. Marafiki na wengi wa waliomtambua akiwa hai walisema kuwa alikuwa mtu mwenye furaha na mwenye kutangamana na watu kwa urahisi. Oduor ambaye alikuwa mchezaji wa soka, amemwacha mjane diana otieno, na watoto wao wawili Janelle Akinyi, na Giovani Ochieng.

.
RELATED VIDEOS