×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Serikali yatoa tahadhari kuhusu Siagi ya Nuteez ambayo ina viwango vya juu vya sumu ya Aflotoxine

31st January, 2019

Afya ya mamilioni ya wakenya huenda ikawa hatarini baada ya serikali kutoa tahadhari kuhusu siagi ya njugu aina ya nuteez ambayo imepatikana kuwa na viwango vya juu vya sumu ya aflotoxin.  Katika taarifa  ya wizara ya usalama wa ndani ilieleza kuwa siagi hiyo ya nuteez inaviwango vya juu zaidi vya sumu hiyo kupita viwango vinavyokubalika. Wizara ya afya imeagiza siagi hiyo iondolewe madukani

.
RELATED VIDEOS