27th January, 2019
Viongozi wa dini la Kiislamu wamejitokeza kwa mara ya kwanza kutangaza msimamo wao kuhusiana na marekebisho ya katiba.
Viongozi hao sasa wametangaza kuunga mkono chagizo la marekebisho hayo wakisema kuwa ndio njia ya pekee ya kuhakikisha usawa miongoni mwa Wakenya wote.