×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanasiasa wa kaskazini mwa Bonde la Ufa wamjibu Hassan Joho

27th January, 2019

Wanasiasa kutoka Bonde la Ufa wamemshtumu Gavana wa Mombasa Hassan Joho kwa madai kwamba yeye pamoja na chama cha ODM wana ajenda fiche kwenye salamu za heri baina ya Rais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga.

Wakizungumza katika kaunti ya Nandi wanasiasa hao wamemtaka Joho kuyaweka bayana anayoyajua kuhusu salamu hizo za heri. 

.
RELATED VIDEOS