×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Je, kasisi aliuawa ama alijitia kitanzi?

27th January, 2019

Maafisa wa polisi wanawahoji watu wanne wa familia moja kutoka eneo la Mbungoni kaunti ya Kilifi kwa madai ya mauaji. 

Hii ni baada ya mwili wa kasisi Cosmas Hanjari wa Kanisa la Kimethodisti kupatikana ukining’inia kwenye chuma cha dirisha nyumbani kwake katika kile kinaonekana kuwa ni kisa cha kujitia kitanzi. 

Miongoni mwa wale wanaozuiliwa na polisi ni mjane wa marehemu pamoja na wanawe wawili wa kiume.  

.
RELATED VIDEOS