Ndugu, jamaa, marafiki na waliofanya kazi wa hoteli ya dusit D2 walikusanyika Consolata Shrine

KTN News Jan 23,2019


View More on KTN Leo

Ndugu, jamaa, marafiki na waliofanya kazi wa hoteli ya dusit d2, iliyoko 14 Riverside Drive walikusanyika hii leo katika kanisa la Consolata Shrine eneo la Westlands katika sherehe ya kuwakumbuka sita hao.