22nd January, 2019
Sinema ya bure ilitokea katika eneo la mbale, Kaunti ya Vihiga baada ya afisa wa polisi wa utawala kujipata pabaya alipokuwa akisakata ngoma na mpenzi wake wa nje ya ndoa. Afisa huyo alikwama mchezoni na kuzua kioja kama anavyoarifu lofty matambo.