×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Chama cha KANU kushirikiana na kiongozi wa ODM Raila Odinga

22nd January, 2019

Uongozi wa chama cha KANU umesema kwamba utaendelea kupeana ushirikiano wake katika salamu za heri kati ya rais uhuru kenyatta na kiongozi wa ODM Raila Odinga. Akizungumza sehemu ya kipkok huko sigowet kaunti ya kericho, viongozi hao wakiongozwa na mwenyekiti wake gideon moi na mbunge wa tiaty william kamke, wamesema kwamba hatua zilizochukuliwa na rais kenyatta na raila odinga, zafaa kuungwa mkono na kwamba sio wakati wa kujadili siasa za mwaka. Wamewataka wanaoendelea na siasa, waache kufanya hivyo na kushughulikia swala la maendeleo ya taifa.

.
RELATED VIDEOS