BONGO LA BIASHARA: Biashara katika mkahawa unaofahamika kama Kalacha highway villa
22nd January, 2019
Penye nia hapokosi njia licha ya ukame uliokumba eneo la kalacha katika Kaunti ya Marsabit Elema Abudo Issacko almaarufu kama Kepa alitumia bongo na kuanzisha mkahawa unaofahamika kama Kalacha highway villa.