22nd January, 2019
Mama mmoja anayeishi na ulemavu na ni muathiriwa wa shambulizi la Riverside, alionyesha ukakamavu na kuwa na imani kuwa mwanawe hakuhudhuriwa na magaidi hadi walipookolewa saa kumi na tatu siku hio ya jumanne. Phylis Ouko alikataa kuondoka sehemu ya mkasa, hadi pale alipopatanishwa na mwanae nyakati za alfajiri.