Wakazi wa kijiji cha Machang’a wanakadiria hasara baada ya ndovu kuvamia mashamba yao
13th January, 2019
Wakazi wa kijiji cha Machang’a katika eneo la Mbeere kusini wanakadiria hasara baada ya ndovu kuvamia mashamba yao na kufanya uharibifu mkubwa wa mimea ya chakula usiku wa kuamkia leo.