Waziri Ukur Yatan azuru eneo bunge la North Horr kaunti ya Marsabit ambapo ngamia mia moja walikufa
13th January, 2019
Waziri wa Leba Ukur Yatan amezuru eneo bunge la North Horr kaunti ya Marsabit ambapo ngamia mia moja waliripotiwa kufa baada ya kunywa maji yanayoaminika kuwa na sumu katika bwawa la eltula.