Mwanafunzi apoteza nafasi shuleni kugunduliwa alikuwa wa dini ya warasta

KTN News Jan 12,2019


View More on KTN Leo

Familia moja katika mtaa wa Kibra Nairobi imebaki kwenye njia panda kuhusiana na hatma ya masomo ya mwanao wa kidato cha kwanza aliyefurushwa shuleni baada ya kugunduliwa alikuwa wa dini ya warasta almaarufu 'rastafarians'.