Raila Odinga na naibu wa rais William Ruto walikutana katika jukwaa moja
12th January, 2019
Raila Odinga na naibu wa rais William Ruto walikutana katika jukwaa moja huko wote wawili wakisisitiza umuhimu wa kuondoa siasa za chuki, na kuendeleza umoja wa wakenya.