.
7th January, 2019
Kutokana na msukumo wa machafuko ya kila baada ya uchaguzi jamaa moja aliamua kujitengenezea gari lake na kulitumia kuzuru kaunti zote 47 kutangaza amani nchini. Tayari amezuru kaunti ishirini na mbili kutumia gari hilo lenye magurudumu matatu na analiboresha kupitia changamoto anazokumbana nazo.