×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Viongozi wa kidini wakana malumbano ya kisiasa

7th January, 2019

Viongozi wameombwa kukoma siasa na badala yake kulenga kutimiza ahadi za wakati wa kampeni kwa wananchi. Akizungumza katika kanisa la AIC Cheribo huko Kericho, naibu askofu mkuu wa kanisa la AIC katika eneo hilo la South Rift Johnstone Cheruiyot amesema ni mapema sana kwa viongozi kuanza mjadala wa siasa za urithi wa mwaka 2022.Hata hivyo Cheruiyot ameipongeza serikali kwa kuhakikisha kuwa kila mwanafunzi anapata elimu ya sekondari.

 

.
RELATED VIDEOS