Matamshi ya David Murathe yavuruga chama cha Jubilee

KTN News Jan 07,2019


View More on KTN Leo

Matamshi ya David Murathe kwamba watabuni vuguvugu jingine kuendeleza shinikizo zaidi dhidi ya naibu rais William Ruto yanazidi kuchochea utata chamani.