7th January, 2019
Waziri wa elimu Amina Mohammed amezindua msafara wa usafisrishaji wa vitabu vya mtaala wa kuegemea uwezo katika taasisi ya kuchapisha vitabu KLB jijini Nairobi takriban vitabu elfu mbili hamsini, zilisafirishwa hadi kaunti ya Kakamega, Bungoma na Turkana.