Waziri wa michezo Rashid Echesa ajitenga na madai ya ulanguzi
6th January, 2019
Waziri wa michezo Rashid Echesa amejitenga na madai kuwa alihusika na ulanguzi wa wacheza ngoma kutoka Pakistan, akidai alitekeleza jukumu lake kama waziri huku akiwalimbikizia lawama maafisa wa uhamiaji.