Maafisa wa polisi wafurusha wahudumu wa matatu Thika
6th January, 2019
Maafisa wa polisi katika mji wa Thika wamewatimua wahudumu wa matatu ambao walikuwa wamevamia ardhi ya shirika la Posta nchini na kuigeuza kuwa kituo cha mabasi katika eneo la Makongenii