×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gor Mahia kukosa huduma za wachezaji wao muhimu

5th January, 2019

Mabingwa watetezi Gor Mahia wanatarajiwa kukosa huduma za wachezaji wao muhimu Harun Shakava, Francis Mustafa, Boniface Oluoch, Joash Onyango na Kenneth Muguna katika mechi ya ligi kuu ya taifa dhidi ya Mathare United siku ya jumapili. Lakini licha ya  kukosa huduma za wachezaji hao , mkufunzi wa Gor Mahia Hassan Oktay ana imani kwamba wataandikisha matokeo mema dhidi ya Mathare. Kogalo wanashikilia nafasi ya tisa katika jedwali la ligi kuu nchini na alama sita. 

.
RELATED VIDEOS