×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watoto wao watatu kuzaliwa wakiwa Nakuru na matatizo ya kupooza ubongo au cerebral palsy

5th January, 2019

Familia moja huko Nakuru inajiuliza maswali baada ya watoto wao watatu kuzaliwa wakiwa na matatizo ya kupooza ubongo au celebral palsy. Samuel gitonga pamoja na mkewe kezia wamboi ambao wanaishi katika mtaa wa mabanda wa manyani mjini nakuru wameshindwa kumudu gharama ya mahitaji ya kimsingi ya watoto hao.

.
RELATED VIDEOS