×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Viongozi kutoka eneo la Luhyia kuwaadhibu wanaounga mkono Naibu wa Rais William Ruto

5th January, 2019

Viongozi kutoka eneo la Magharibi sasa wameapa kuwa watawaadhibu vikali wanasiasa kutoka eneo hilo ambao wameonyesha dalili kuunga mkono azma ya Naibu wa Rais William Ruto kugombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2022. Wamesisitiza kuwa anayepaswa kuungwa mkono kutoka eneo hilo ni kiongozi wa chama cha ANC Musalia Mudavadi. 

.
RELATED VIDEOS