×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu sita wa familia moja wamefariki katika ajali ya Kericho

3rd January, 2019

Watu sita wanaoaminika kuwa wa familia moja wamefariki papo hapo baada ya gari aina ya saloon walilokuwa wakisafiria kugongana ana kwa ana na lori kwenye barabara ya kericho? nakuru. Miongoni mwa majeruhi wa ajali hiyo ya mwendo wa saa saba kasorobo mchana wa leo ni watoto watatu na wavulana wawili waliokuwa wakirejea shuleni. Baadhi ya walioshuhudia ajali hiyo hata hivyo wanasema gari hilo aina ya saloon lilikuwa likiendeshwa kwa mwendo wa kasi. Miili ya waliofariki ilipelekwa katika hifadhi ya maiti ya hospitali ya kericho. 

.
RELATED VIDEOS