Wanafunzi wanatarajiwa kurudi shule hapo kesho

KTN News Jan 02,2019


View More on KTN Leo

Hatimaye likizo imekwisha na wanafunzi wanatarajiwa kurudi shule. Licha ya migogoro ya washikadau wa elimu, wazazi wamejiandaa kuhakikisha watoto wao wamehudhuria masomo yao.