.
24th December, 2018
Maandalizi ya sherehe za siku kuu ya krismasi yamekalika katika baadhi ya maeneo nchini. Huko naivasha kaunti ya nakuru hoteli nyingi kando mwa ziwa naivasha zinakila sababu ya kuusifia msimu huu, wasimamizi wake wanasemaKuwa asilimia 95 ya hoteli hizo zimejaa.