Madaktari wataka serikali kuekeza kwa mafunzo ya madaktari, sio kuleta wa kigeni
24th December, 2018
Baadhi ya madaktari walio na uzoefu wa hali ya juu hapa nchini wameitaka serikali kuwekeza katika kuwafunza madaktari wake na kukoma kuomba huduma za madaktari wa mataifa ya kigen