.
24th December, 2018
Sherehe za krismasi zimetibuka siku moja tu kabla ya shamra shamra baada ya wingu la Kisa mjini thika kaunti ya kiambu zilitibuka Wakati wasichana wawili wa umri wa miaka 11 na 13 walikufa maji. Familia mbili zimeachwa zikiomboleza msimu huu wa sherehe baada ya kuwapoteza watoto wao