Wanasiasa wa NASA Magharibi wamkashifu William Ruto, wasema hana msimamo

KTN News Dec 24,2018


View More on KTN Leo

Naibu wa rais william ruto amejipata pabaya baada ya kujitokeza hadharani kupinga mabadiliko ya katiba akidai kwamba hatokubali katiba itakoyobuni nafasi za ziada za ungozi ili kuwanufaisha watu wengine. Leo viongozi wa chama cha anc na odm walimsuta na kulaani ziara zake za eneo la magharibi