Polisi Mombasa wapiga marufuku huduma za bodaboda usiku kwa minajili ya usalama
24th December, 2018
Huku kaunti ya mombasa na viunga vyake ikipambana na tatizo la utovu wa usalama, haswa uhalifu unaotekelezwa na wahudumu wa bodaboda, polisi kaunti hii, wamepiga marufuku matumizi ya bodaboda nyakati za usiku