Aliyekua mkewe Jackson Kibor ahofia maisha yake baada ya nyumba yake kuteketezwa

KTN News Dec 19,2018


View More on KTN Leo

Saa chache baada ya mwanasiasa na mkulima mwenye utata Jackson Kibor kumtaliki mkewe wa tatu Naomi Jeptoo, ghala la mwanawe Jeptoo Elkana Kibor amablo lilikuwa na mali takriban milioni 1.5 liliteketezwa usiku wa kuamkia Jumatano na watu wasiojulikana. Jeptoo sasa anahisi maisha yake yapo hatarini kutokana na kasumba zinazomwandama.