×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mahakama yasisitiza kwa kutekelezwa kwa mpango wa kugharamia makazi nafuu kwa wakenya

19th December, 2018

 

Mpango wa rais Uhuru Kenyatta wa kugharamia makazi nafuu kwa wakenya hatimaye umepata pigo ghaya baada ya mahakama inayoshughulikia maswala ya wafanyikazi kusitisha kwa muda kutekelezwa kwa mpango huo. Katika kesi iliyowasilishwa na muungano wa vyama vya wafanyikazi nchini COTU uamuzi umetolewa na jaji Hellen Wasilwa kusitisha kwa  utekelezai kutoza asilimia 1.5 ya mishahara ya wafanyakazi wa serikali.

.
RELATED VIDEOS