×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Msimamo wa KNUT: KNUT chatoa ilani ya mgomo wa walimu tarehe 2 Januari

19th December, 2018

Chama cha Kutetea Maslahi ya Walimu nchini, KNUT, kimetoa ilani ya mgomo wa walimu kaunzia Januari tarehe mbili mwaka ujao, ili kulalamikia kile kinachodaiwa kuwa udhalimu na unyanyasaji wa tume ya TSC dhidi ya walimu. Katibu mkuu wa KNUT, Wilson Sossion, hasa ameitaka tume ya kuwaajiri walimu, TSC, kubatilisha uhamisho wa walimu zaidi ya elfu tatu, kwa misingi kwamba uhamisho huo ulifanywa kinyume cha taratibu na sera za tsc kuhusu uajiri na uhamisho wa walimu.

.
RELATED VIDEOS