17th December, 2018
Mashine ya kipekee ya kutengeneza na kuchanganya vyakula vya mifugo eneo la Mumias Magharibi imeleta mwamko mpya katika eneo maarufu kwa kilimo cha miwa. Wakulima sasa wakigura kilimo cha miwa kupanda kahawa inayotumika kutengeneza vyakula vya mifugo