×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mpango wa Serikali kupokea binduki ya haramu imeanza kutekelezwa

17th December, 2018

Kurunzi ya mpango wa serikali kupokea bunduki haramu kutoka kwa umma leo hii umeangazia mojawapo ya mitaa sugu zaidi hapa jijini Nairobi maeneo ya Eastlands. Ilani ya siku 90 iliyotolewa na serikali tayari imeanza kutekelezwa na waendesha mpango huo wanasema kuwa wataangazia kwa kina maeneo ya mitaa ya mabanda ambako kwa muda mrefu wahalifu sugu wamekuwa wakitamba.

 

 

.
RELATED VIDEOS