.
16th December, 2018
Jaji Mkuu David Maraga hatimaye amevunja kimya chake na kuwatetea majaji pamoja na mahakimu kutokana na shutuma za rais Uhuru Kenyatta kwamba wamelemaza vita dhidi ya ufisadi kwa kutoa dhamana nafuu kwa washukiwa wa wizi wa mali ya umma Maraga badala yake amenyoshea kidole cha lawama afisi ya mkuu wa mashtaka ya umma kwa kukosa kutekeleza wajibu wake wa kuleta ushahidi madhubuti.