Mwanamke mmoja akamatwa kuhusiana na kifo cha mwiigizaji wa runinga Jamal Nassor
12th December, 2018
Muigizaji Jamal Nassor Rashid wa kipindi cha 'junior' katika runinga ya KTN ameaga dunia. Inadaiwa Jamal alidungwa kisu katika mkahawa moja eneo la Athi River kaunti ya Machakos usiku wa kuamukia leo.