'Nimeoa wawili kuonyesha kwamba sina wengine nje' Mwanaume aoa wanawake wawili kwa wakati mmoja

KTN News Dec 12,2018


View More on KTN Leo

Mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka ishirini na saba huko Kajiado amefunga ndoa na wanawake wawili kwa wakati mmoja, kwa kile anachokitaja kuwa kufuata mila za wahenga wa jamii ya wamaasai.