Aliyekua Naibu Gavana Kilifi auawa kwa kupigwa risasi, wahalifu bado wanasakwa

KTN News Dec 12,2018


View More on KTN Leo

Utovu wa usalama katika kaunti ya Mombasa unaendelea kujenga wingi kubwa la hofu baada ya majambazi kuyavamia makao ya aliyekuwa Naibu Gavana wa Kilifi Kennedy Kamto na kumpiga risasi hadi kifo huko Nyali. Viongozi waliofika kuifariji jamaa ya marehemu wameitaka serikali kudumisha usalama katika Pwani ya Kenya