12th December, 2018
Rais Uhuru Kenyatta ametoa changamoto kwa idara ya mahakama kuwajibika zaidi kwenye vita dhidi ya ufisadi. Rais Kenyatta ameesma ingawa washukiwa wanapaswa kupata haki mahakamani mara nyingi huwaachilia kwa mazingira yasiyoeleweka.