.
10th December, 2018
Shinikizo za kufufua upinzani nchini zimeibuka vuguvugu la wanaharakati likianzisha mchakoto kutaka afisi ya upinzani kwenye serikali kuu na serikali za kaunti ibuniwe kupitia kwenye mageuzi ya katiba. Hilo linajiri wakati tetesi zimeibuka kwamba maafikiano kati ya rais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga yalilemaza makali ya upinzani nchini