Raila amewasuta wanasiasa kutoka mkoa wa Bonde la Ufa wanaopinga vita vinavyoendelea dhidi ufisadi

KTN News Dec 10,2018


View More on KTN Leo

Kinara wa ODM Raila Odinga amewasuta wanasiasa kutoka mkoa wa Bonde la Ufa wanaopinga vita vinavyoendelea dhidi ufisadi wakikisia kudhulumiwa kikabila. Raila aliyezungumza katika kanisa la PCEA kiangonya katika kaunti ya Kiambu? amesema vita hivi vitaendelea, na kuwa yeye na rais uhuru kenyatta hawatosita kwenye juhudi zao kupambana na jinamizi hili.