Zaidi ya kondoo 50 wauawa na mnyama asiyejulikana katika Kaunti ya Murang'a

KTN News Dec 09,2018


View More on KTN Leo

Zaidi ya kondoo 50 wauawa na mnyama asiyejulikana katika eneo la kiharu kaunti ya murang'a. Wenyeji wanashuku mnyama huyo huenda akawa chui.