.
9th December, 2018
Jina la mwanamke mmoja katika kijiji cha kisoko eneo la nambale kaunti ya Busia limebobea kutokana na ueledi wake kwenye kazi ya kulima kwa jemba la kukokotwa kwa ng'ombe.
Kwenye makala ya Mwanamke Ngangari wiki hii tunakueleza jinsi Sylvia Akinyi ameweza kuwasomesha watoto wake kupitia vibarua vinavyotokana na jembe la kukokotwa kwa ng’ombe.