×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rais Kenyatta aahidi kutotia sahihi mswada wa uongezaji mishahara kwa wabunge

5th December, 2018

Rais Uhuru Kenyatta amesema hatatia saini mswada wa nyongeza ya mishahara ya wabunge kwani utakuwa mzigo mkubwa kwa wananchi. Aidha amesema yeye anaunga mkono wananchi kuwa kile taifa linalohitaji zaidi ni utoaji wa huduma na sio nyongeza ya mishahara. Rais alikuwa akizungumza alipohudhuria hafla ya kufuzu kwa vijana walioasi uraibu wa dawa za kulevya na unywaji pombe katika kituo cha mama care kaunti ya Kiambu.Takriban vijana sabini waliobadili tabia walifuzu.

 

 

.
RELATED VIDEOS