3rd December, 2018
Mahakama kuu jijini Nairobi imekosa kusitisha amri dhidi ya matatu kuingia katikati ya jiji licha ya kutaja kesi hiyo, iliyowasilishwa na Seneta wa Nairobi Johnson Sakaja, kuwa yenye kivutio kikuu. Wasafiri wengi walilazimika kutembea hadi jijini baada ya kushukishwa nje ya jiji.