×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Familia yapoteza watoto watatu kwa kugongwa na gari, dereva atoweka

3rd December, 2018

Familia moja mtaani Bahati mjini Nakuru imepoteza watoto watatu hapo jana jioni. Baada ya kugongwa na gari katika eneo la Maili tisa. Inaarifiwa kwamba dereva wa gari hilo hakusimama licha ya kusababisha maafa. Watoto hao ni Brian Nderitu, mwenye umri wa miaka kumi na mitano, aliyekuwa akisubiri kujiunga na elimu ya sekondari baada ya kupata alama mia tatu tisini na moja katika  mtihani wa KCPE, Ruth Wanjiru mwenye umri wa miaka kumi na mitatu, pamoja na mdogo wao, Anthony Njenga mwenye umri wa miaka sita. 

.
RELATED VIDEOS