1st December, 2018
Viongozi wa maeneo mbalimbali nchini wakiongozwa na Seneta wa Baringo Gideon Moi na kinara wa ANC Musalia Mudavadi walizuru mji wa Kakamega na baadae kufanya mchango wa kuwanunulia basi wafanyabishara wa mji huo. Seneta Gideon Moi amewaomba viongozi wa magharibi kufanya kazi nae huku waliozungumza wakiwasuta wanaokandamiza wakulima wa mahindi na miwa.