28th November, 2018
Washikadau kwenye sekta ya elimu sasa wanapendekeza kufutiliwa mbali kwa sinema za ngono kwenye mitandao ya kijamii wakisema ndicho kichocheo cha mimba za mapema miongoni mwa idadi kubwa ya watoto wa kike waliokuwa wakifanya mtihani wa kitaifa mwaka huu. Haya yamezungumza wakati wa kufunga rasmi mchakato wa mtihani wa KCSE ambao umekamilika leo kote nchini.